Woman wearing a headscarf and long dress stands on a grassy hill watching a sunset over layered mountain ranges.

Kanuni za Mavazi

  1. Ni lazima Wanawake Kufunika Vichwa vyao wakati wa Ibada
  2. Ni lazima Wanawake kufunika Vifua vyao wakati wote
  3. Sio vibaya kutumia mavazi ya Heshima ya Wakristo katika kazi za Sanaa
  4. Sio Vibaya kwa Mwanamke kuvaa kama mwanamke wa Kihindi na kuacha kiuno/tumbo wazi kama wafanyavyo Wahindi kwa misingi ya Kihindi kwa shughuli zisizo za ibada na mikusanyiko au sikuu za kidini
  5. Si ruhusa kwa Mwanamke au Mwanaume kuvaa nguo ndefu ziburuzazo chini
  6. Hakuna tatizo kama Mwanamke ataacha wazi viuongo vyake vyote vya udhu wakati wa Ibada ikiwemo nywele za mbele.
  7. Hakuna Ubaya kwa Wanaume kukaa vifua wazi katika Kazi au Michezo
  8. Urefu wa nguo za wanawake lazima uzidi nusu ya urefu wa Goti na Kifundo cha mguu
  9. Wanawake wanaweza kuvaa suruale pana zisizobana Mapaja yao na kuonyesha Makalio yao kama watavaa pamoja na nusu kanzu

Watoto wa kike wasiobalehe wanaweza wanaweza shiriki ibada bila kufunika vichwa vyao.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *