Nukuu Binafsi

(Zumbe) Ahmad Ten’dii ni Nani

Kijana kutoka Tanzania mwenye Kusudi la uundwaji wa Taifa la kifalme juu ya Baraka, Karama na Maono adhimu ya Mafanikio ya kweli na ulinzi wa Ustaarabu na Utu ndani ya Milenia hii. Mtaalamu wa Dini na Falsafa ambaye Hakupitia Masomo rasmi. Aliyedhihirika kupitia kusudi la uanzishaji wa Taifa la Kifalme lenye upatanisho kati ya ulimwengu halisia na ulimwengu wa kiroho. Mwanasiasa Mwadilifu na Mwenye Karama tele ambaye amesimama kama alama ya Mizani katika masuala yapasayo kuamua juu ya utawala safi. "Nimejinasibu na kunasibishwa na ulezi na ulinzi wa Ustaarabu kuipitia Hekima, Busara, upendo na uelewa wa hali ya Juu".

Falme ya Ahmad

Karibu katika Falme ya Ahmad, Isiyo na Mipaka – Maisha ya Usawa, Heshima na Uhuru wa Kweli

Maelezo Zaidi

Mfumo wa Maisha

Maisha Bila Pesa – Kila Kitu kwa Kila Mtu. Uaminifu wako ni tiketi ya maisha ya heshima na anasa

Maelezo Zaidi

Sheria na Nidhamu

Uhuru wa Kweli Unahitaji Nidhamu ya Kweli. Uhuru wa kuabudu, ulinzi wa mapenzi na Kuchunga wenye haki kwa salama

Maelezo Zaidi

Teknolojia na Viwanda

Kazi Kwa Mashine, Kazi kwa Zamu Lengo la Kupunguza Ajira na Kuongeza Muda wa Familia, Kustarehe na Kuabudu

Jiunge Na Jumuiya

Anzisha Tawi la Zumbe10D Katika Eneo Lako. maelekezo ya kuanzisha jumuiya na Nidhamu Kwa Waasisi

Maelezo Zaidi

Mashujaa na Historia

Waliotangulia Kwa Uaminifu na Ubunifu. Walioacha Alama katika Historia Kwa kuishi Sehemu ya Falsafa hii

Maelezo zaidi

Machapisho Mapya

  • Ibada ya Zaka na Sadaka

    Ibada ya Zaka na Sadaka

    Zaka hutolewa kwa Taasisi ya Zumbe10D tu. Wengine wote wanaoamini kuwa wanastahili zaka na Sadaka wanapaswa kujiandikisha kwenye Taasisi ya...
  • Kanuni za Mavazi

    Kanuni za Mavazi

    Ni lazima Wanawake Kufunika Vichwa vyao wakati wa Ibada Ni lazima Wanawake kufunika Vifua vyao wakati wote Sio vibaya kutumia...
  • Ibada ya Ndoa

    Angalizo: Kwenye hii Dunia ya Kibepari na Ndoa kwa Watu waliobalehe miaka mingi iliyopita – Basi kwa dharula sio lazima...
  • Utukufu Katika Imani na Taifa Jipya

    Utukufu wa Juu kabisa ni wa Mungu mwenye enzi, mwenye ujuzi na nguvu juu ya kila kitu, aonaye na Asikiaye...
  • Sala ya Ufalme

    Sala ya Ufalme

  • Ibada ya Sala na Sala ya Ufalme

    Ibada ya Sala na Sala ya Ufalme

    Ni lazima kusali Sala ya Asubuhi na sala ya Jioni kila siku, katika sala hii mkusudiwa ni Mungu mkuu mwenye...
  • Dunia bila Dhambi pt 2

    Dunia bila Dhambi pt 2

    Haya ni Malengo shabaha ya Utawala wa Zumbe10D na wala sio ushawishi kwa watunga sera. Falme ya Ahmad inakusudia kumiliki...
  • Kwaheri Ramadhani – Podcast

    Kwaheri Ramadhani – Podcast

    Nimakosa kuuita mwezi wa Ramadhani mwezi wa toba, Ramadhani ni mwezi wa upendeleo utako kwa Mungu mwenyezi kwa waja wake....