Ibada ya Sala na Sala ya Ufalme
Ni lazima kusali Sala ya Asubuhi na sala ya Jioni kila siku, katika sala hii mkusudiwa ni Mungu mkuu mwenye enzi yote, Sala hii ya Asubuhi na Jioni husaliwa kwa Rakaa mbili, Maneno yote yasomwayo kwa sauti yaani Qur’an na Muongozo wa Imamu yanasomwa kwa Kiarabu na maneno ya Kimya yanasomwa kwa lugha aifahamuyo vyema …




















