Showing 6 Result(s)

Ibada ya Zaka na Sadaka

Zaka hutolewa kwa Taasisi ya Zumbe10D tu. Wengine wote wanaoamini kuwa wanastahili zaka na Sadaka wanapaswa kujiandikisha kwenye Taasisi ya Zumbe10D. Wapumbavu wakilalamika waulizeni hao wanaotoa pesa / Mali ya Zaka na Sadaka Wanazitoa Wapi? Kujiandikisha huko inapaswa kufanywe kupitia tovuti ya Zumbe10D yenye anuani ya zumbe10d.sc.tz – 2026/2027 Wageni Mtaani / Mjini sio Maadui …

Ibada ya Ndoa

Angalizo: Kwenye hii Dunia ya Kibepari na Ndoa kwa Watu waliobalehe miaka mingi iliyopita – Basi kwa dharula sio lazima wanandoa kuishi katika Nyumba/Chumba Kimoja – Jambo la Kizingatia tu ni kuwa Mwenyezi Mungu ameweka laana nyingi kwa Wazinifu. Ndoa ni Halali kwa Waliobalehe na wa jinsia Tofauti. Lazima wasiwe Maharimu na isihusishe Mwanamke aliyeolewa. …

Utukufu Katika Imani na Taifa Jipya

Utukufu wa Juu kabisa ni wa Kutoka kwa Wazazi Utukufu huhamia kwa mume kisha kwa Familia Mpya – kutoka kwa Watoto kwenda kwa Wazazi. Enyi Watoto na Wanawake, Mtiini mwenyezi Mungu kwanza na Masihi wake ili mpate kuokoka. Ni dhambi kuwapenda Wazazi wenu au Waume zenu kuliko ipasavyo kumpenda mwenyezi mungu na Masihi wake naye …

Ibada ya Sala na Sala ya Ufalme

Ni lazima kusali Sala ya Asubuhi na sala ya Jioni kila siku, katika sala hii mkusudiwa ni Mungu mkuu mwenye enzi yote, Sala hii ya Asubuhi na Jioni husaliwa kwa Rakaa mbili, Maneno yote yasomwayo kwa sauti yaani Qur’an na Muongozo wa Imamu yanasomwa kwa Kiarabu na maneno ya Kimya yanasomwa kwa lugha aifahamuyo vyema …