Showing 24 Result(s)

Umuhimu Wa Ndoa Za Mapema

Mapenzi yakipatikana katika mazingira mazuri huinua ufanisi wa mtu yoyote bila kujali umri wake na Mapenzi huweza kumchanganya mtu yoyote ikiwa hayapatikani katika mazingira mazuri.Wote tulikuwa watoto, Wakati huo tamaa yetu kubwa ilikuwa ni kula chakula na kucheza, Na kila mtu akishafikisha miaka 13 yaani umri wa bahele tamaa yake juu ya mapenzi huchipua na …

Ujumbe Kwa LGBTQ

Mimi kama Mzazi siwezi kuwaunga mkono jamii ya Wasagaji, Mashoga, au wanaobadili Jinsia yaani LGBTQ. Vitendo hivyo havikubaliani na Asili ya Mwanadamu kwa hiyo ni jambo la kutarajiwa pia hata wao wenyewe kutojisikia vizuri sababu ya Mabadiliko ya kimwili wanayopitia hasa kama watataka msaada wa Madaktari ili wajibadilishe. Jamii ya LGBTQ inapata nguvu kutokana na …

Bustani Na Bwana Wake

Mimi Ahmad Ten’dii naanzisha Mfumo, Naanzisha utawala wa kutawala Bustani ya Upendo, Bustani yenye hadhi na heshima stahiki, Bustani ambayo Mwanadamu atachanua na kunawiri katika Nyanja zote, Nyanja zenyewe zitakuwa chache maana maisha nitayaelekeza katika uhalisia wake na sio nadharia zake Bustani hiyo Wanawake watafurahia asili yao na Wanaume watafurahia asili yao, Wanawake watajivunia asili …

Inawezekana Kuutowesha Umaskini

Inawezekana umaskini kuwa ni historia kama ilivyo kwa ukoloni na utumwa. Jamii za Binadamu zilipambana na Utumwa hadi zikakata tamaa juu ya kutoweka katika Maisha ya Binadamu, Hivyo hivyo Ukoloni. Wengi walikufa katika juhudi za kupambana na Ukoloni na wakaona ni Jambo lisilowezekana. Lakini sasa ukoloni ni Historia tu. Vivyo hivyo Umaskini unaweza ukatoweka na …