Je Haki ni Ya nani?

Image

Haki ni ya Nani

Hukumu ya Haki na Hekima kwa mujibu wa Zumbe10D juu ya kesi iliyowakilishwa na picha ya watoto wanaogombea tairi huku mmoja analia na mwingine anacheka kama picha inavyojieleza. Je Zumbe10D anampa haki nani na kwa nini. Karibu usikilize Podcast ya Bure kutoka tovuti rasmi za Zumbe Ahmad Ten’dii. Karibu sana.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *