Ibada ya Zaka na Sadaka

Zaka hutolewa kwa Taasisi ya Zumbe10D tu. Wengine wote wanaoamini kuwa wanastahili zaka na Sadaka wanapaswa kujiandikisha kwenye Taasisi ya Zumbe10D. Wapumbavu wakilalamika waulizeni hao wanaotoa pesa / Mali ya Zaka na Sadaka Wanazitoa Wapi? Kujiandikisha huko inapaswa kufanywe kupitia tovuti ya Zumbe10D yenye anuani ya zumbe10d.sc.tz – 2026/2027

Wageni Mtaani / Mjini sio Maadui zetu. Wageni sio watu wa Kuamini kabisa na kuchanganya na Familia, Wapookeni wageni kwa Umoja wetu wa Kiimani bila kujali Imani zao kwa Chakula safi na salama na Sehemu ya Kulala  na au shuka Mbili. Nyutazute ni sehemu nzuri ya kuwalaza au kuwafungia katika vyumba vyenu vya Ibada Usiku ikiwa mnahofu na wao wanahofu ya kulala nje.

Mtawakopesha Mkopo mwema wa vyumba vya kuishi (Ghetto) na mahitaji madogo madogo na wao watalipa kwa kupewa kazi za kufanya au vibarua kwa malipo ya asilimia 60 na 40 kwenda kwa Mwenyeji Mlezi.

Nia aibu kuruhusu Wasafiri / Wahamiaji kuangukia kwa Wafiraji na Malaya maana wengine ni watu wema au wenye Imani sahihi wakimbiao Usenge, Ukafiri au Ushirikina Makwao. Kukosa msaada wa Waumini ni kuwahukumu wateseke, wadhalilike na Warudi wakatii masharti ambayo yako kinyume na wao.

Tahadhari ya kuzingatia sio kila Msafiri na Mhamiaji ni mtu mwema, wengine wanakimbia kuwajibishwa au kushughulikiwa na mkono wa sharia kwa makosa mbalimbali. Waumini wanapaswa kujua hofu za Wasafiri / Wahamiaji kabla ya kuanza kuwasaidia.

Wageni wengine mitaani ni Askari Wapelelezi na sisi sio walanguzi wa madawa ya kulevya, majambazi nk. Sio tatizo kwetu.

Hii ni Sadaka kubwa sana kwenye kizazi hiki cha Y2K maana Upumbavu wafanyiwao Wasafiri / Wahamiaji Umetishia na kuhatarisha Juhudi na Kusudi langu kwa kiasi kikubwa.

Mwenyezi Mungu anasema Kitabuni (Qur’an) “Ni jambo zuri kuhama kukimbia uonevu na unyanyasaji”, “Wanaoonewa wamewekewa mahali pengi pakukimbilia”, na “Mkiona maovu yametawala kila Nyanja kimbilieni Mapangoni” na mimi nikasema “Wakimbilie kwenye Mageto”. NB: Mrejeelee tafsiri ya neno kwa neno maana mimi sio miongoni mwa waliokariri

Sadaka ya Maana sana ni pamoja na kuwa na bei rafiki ya upangaji wa mageto (Vyumba) kwa ajili ya Watoto wenu wa Kiume wanaofikia balehe ili kupunguza kushirikiana sehemu za kulala kwa watoto wa kiume. Kama wazazi hamuungi mko vitendo vya Kisenge wapo watoto kwa tamaa ya haraka au kujifunza ujinga mitaani wanaleta nyumbani kwa watoto wenzao na kuchochea Mfarakano na kuoneana baina ya Ndugu na Marafiki

Tulisafiri kwenda Geita mimi na Mwanafunzi mwenzangu wa Darasa moja na kwenda kwenye vituo tofauti vya Mafunzo kwa vitengo ya Mwaka wa tatu chuo kikuu. Mimi sikuwa na Mkopo na wao ilichelewa kwa takribani wiki mbili.

Mkopo ulipotoka nilimuomba anikopeshe japo 50,000/= nitamlipa mwaka ujao wa Masomo na alinirai kuwa yeye ni mtoto wa kike na yuko ugenini anahitaji pesa nyingi mimi nikamjibu mimi ni mtoto wa kiume na niko ugenini kwenye miji ya watu, hebu pata picha ya uharibifu naoweza kutokea nikiendelea kukosa pesa. Muwatizame kwa jicho tofauti watoto wenu wa kiume kwenye Familia zenu na Jamii zenu.