Safari ya kifalme

Hizi ni Kampeni kwa ajili uundaji wa Taifa la Kifalme. Kampeni ya kushawishi watu wa mataifa yote, makubwa na madogo umuhimu wa kuwepo kwa taifa la kifalme chini yangu mimi Ahmad Ten’dii

Huu ni mpango wa kutowesha shida, umaskini na utesi unaopatikana katika safari ya maisha. Ni mpango  wa kuhakikisha ya kwamba maisha ya binadamu na mazingira yake yanakuwa raha mustarehe

Mimi Ahmad Ten’dii naweza kutowesha matatizo yote ya dunia ya leo. Nafanya hivyo kwa kubadilisha mifumo inayondesha na kusimamia maisha na kuifanyia mingine marekebisho. Tatizo linalosumbua maisha na kuyafanya mafanikio sio njia iliyonyooka ni mfumu ambayo haikushughulikiwa kwa muda wa takribani maisha yote

Mimi Ahmad Ten’dii ambaye napenda kutambulika kama Mfalme wa Taifa jipya kwa Jina la “Zumbe”, nina akili nyingi sana, moyo safi, uhusiano na ulimwengu asilia

Pamoja na yote hayo sikuwekeza nguvu katika Ubepari na starehe za uzinzi na uchafu wa Usenge ambao unanivuta sana bali katika karama na utatuzi wa Matatizo.

Nakukaribisha sana uwe mwanachama na Mshirika katika kufanya kampeni na kueneza hamasa ili yaanze kufanya kazi mapema inavyowezekana.

Nakuomba uwe mdau wa tovuti hii na ikibidi tuwe tunawasiliana kwa simu au baruapepe (Email) zilizo juu na chini ya kila ukurasa

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *