Tunaandikisha Wanachama wapya ili tuweze tambuana na kuona ukubwa wa Jamii yetu iliyo chini ya Mwemvuli wa Kiroho wa @Zumbe10D (Ahmad (Ten’dii) Umbrella)
Unaombwa kujiandikisha na kuonyesha sehemu utokayo ili iwe rahisi kujumuishwa pamoja na Wanachama wa sehemu husika
Pia tunaomba usambaze habari kuhusu jamii na tovuti ya @Zumbe10D ili tuwe wengi kiasi cha kuaandaa Usajili wa kisheria na kupewa wasaa na Fursa za kijamii katika Kitaifa na Mataifa
[jotform id=”230805875275564″ title=”Information Request Form”]
Ahsante kwa Ushirikiano wako, Karibu mara kwa mara katika tovuti yetu na kuwasiliana moja kwa moja na Mkuu wa Familia ya Zumbe10D – Ahmad Ten’dii ili kupata maelezo na Majibu ya Maswali yaibukayo.
