Mahusiano na mapenzi yenye afya

Utangulizi

Sisi ni binadamu, kama walivyo viumbe wengine tunahitaji mapenzi na mahusiano. Kama njia ya kustarehe, kujipatia utulivu na kuzaliana. Ipo nguvu ya asili katika sisi (Viumbe) inayotuvuta kuelekea katika matendo ya mapenzi na kuzaliana. Kwanza mapenzi ni matamu na yanaraha kwa wapenzi wote wawili, Pili maumbo ya Jamii ya Kiume ni makubwa na misuli yao ni yenye nguvu kushinda jamii ya kike. Hili huyafanya matendo ya kuzaliana yawepo bila kujali hali au mazingira ya wakati Fulani. Sio kwenye jamii za Binadamu tu hata katika wanyama inaonyesha kuwa wakiume wako tayari kwa mapenzi wakati wowote tofauti na wale wa kike

Kwa Binadamu mambo ni tofauti kidogo, Mapenzi sio kwa ajili ya kuzaliana tu bali pia inawezekana kuwa starehe ya kila siku, na hiyo ndio tofauti iliyoko kwa Wanawake wetu na jamii zingine za viumbe

Mapenzi ya Wanadamu yanatawaliwa zaidi kwa kanuni za kidini na ustaarabu wa sehemu husika. Ndio, sisi ni binadamu na sio Wanyama, tunalazimika kuziheshimu taratibu za mapenzi ili kuepusha chuki, uonevu, maisha hohehahe, usafi wa nasaba na kila aina ya utesi

Mapenzi mazuri na yenye afya.

Mapenzi mazuri na yenye afya huanza na uchumba mzuri. Huu ni wakati wa kutambua tabia za mwenzio na yeye kutambua tabia zako. Lazima mchumba wako awe na tabia ya kupenda kupatana, asipende kulazimisha vitu, asiwe na tabia ya kususa susa, aonyeshe kujali hisia na misimamo yako huku mkikusudia kukuza na kustawisha ukaribu ulio baina yenu na kutoa nafasi ya mapenzi kuchipua.

Kama wewe ni mtoto wa kiume, epuka sana kuwa na mpenzi anayekuharakisha mtumie pesa zako kwa maslahi yake binafsi hata kabla ya kujua vizuri na kupata wasaa wa kuongea na kujuliana misimamo, upeo, matarajio na hali ilivyo kwa kila mmoja wenu.

Kwa watoto wa kike wanapaswa kufahamu kuwa miili yao ni mitakatifu (Misafi) kwa ajili ya ndoa na kuleta watu duniani katika ndoa zao na kukuza familia. Kwa hiyo wajiepushe na vijana ambao wanalazimisha au kushinikiza tendo la ngono.

Mapenzi ya kweli.

Mapenzi ya kweli yapo na yataendelea kuwepo na yataendelea kupatikana. Usiyatazame mapenzi ya kweli kama zao la kwenda kulipata bali ni kama safari.  Ni mchakato kwa ajili ya kupata zao liitwalo mapenzi ya kweli. Lazima umpe mwenzio sababu za kupuuza mahusiano mengine na kuwa na mahusiano yako tu. Sio kumtajia sababu bali yeye mwenyewe ajione kuwa hakuna haja ya kuwa na kwingineko Zaidi ya kutulia na wewe.

Inabidi umdhihirishie kuwa yuko katika mikono salama na sio tu kumdhihirishia bali auhisi usalama huo

Mapenzi ya kweli yanahitaji kujitoa (kijitolea) sana, inabidi uonyeshe kuwa umedhamiria kufika mbali Zaidi ya wengine watakapo ishia. Inahitajika kukubali mengi sana na kukataa mengi sana ili kuishia na uhusiano wenye afya na unaoridhisha.

Mahusiano mengine yanaharibika kwa sababu ya kupenda sifa za kijinga. Ulikuwa na mahusiano mengine yasiyorasmi na ukadhamiria kudanganya ili mchumba wako akuone mkamilifu. Mambo ya wapenzi wazamani wanaweza kuingilia penzi lenu wakati wowote na mwisho wakawa na maamuzi ya juu katika mapenzi yenu. Sio lazima umueleze kila kitu lakini pia epuka kudanganya. Hii itakusaidia kuchomoa vidudu mtu kila vikijitokeza katika mapenzi yenu

Epuka ubinafsi na usilee ubinafsi katika mapenzi yenu

Sifa za Mapenzi ya kweli

Mapenzi ya kweli yanasifa nyingi lakini yote yanazunguuka katika kuhitaji uwepo upendo wa dhati baina ya wapenzi wawili. Itakubidi ucheze upande wako vilivyo hapo hapo ukihitaji upande mwingine usikutumia kwa manufaa binafsi au kushusha thamani yako. Zingatia sifa zifuatazo:-

  1. Kupendana, lazima uonyeshe upendo na kumfanya mwenzio ahisi ni muhimu, anahitajika na yuko mikono salama
  2. Uaminifu, Mapenzi ya kweli yanahitaji uaminifu, lazima uweze kutimiza ahadi na malengo ya mapenzi yenu wakati mko pamoja na wakati ambao mwenzi wako hayupo. Lazima uzitambua kanuni za mapenzi na kuzilinda huku unachunga makubaliano ambayo mmeshafikia
  3. Kujaliana, kupendana kwa mapenzi ya kweli ni kutambua kuwa ipo siku yanaweza yakatoweka au kupotea na wewe kuhakikisha kwamba jambo hilo halitokei. Ni kama mmiliki wa simu. Anahakikisha simu yake haidondoshi, haikalii, hailalii, haikutani na maji wala kuirusha kwenye vitu vigumu nk. Vivyo hivyo umtazame mpezi wako kwa thamani yake na kutambua kuwa hapaswi kutoka katika maisha yako siku zote
  4. Kuvumiliana, Kila mtu ana ubora wake, udhaifu wake, mapendeleo yake na huchukia baadhi ya vitu. Wewe na mpenzi wako kila mtu amelelewa na familia tofauti na katika mazingira tofauti, lazima ujue ni wakati gani wa kumshughulisha na wakati gani kumuacha afurahie mapendeleo yake.  Lazima pia ukubali mapungufu yake ya kiasili na kufanyia kazi yale yaliochangiwa na mazingira
  5. Kupeana maneno mazuri
  6. Kutoyatumia kama ngazi ya kujipatia utawala, hayo yatajiweka sawa yenyewe kupitia hekima na mizani

Mahusiano mazuri huhitaji mtu muelewa, huhitaji uaminifu na kujaliana, huhitaji kupendana na kuvumiliana, kupeana maneno mazuri. Utani pia unamahali pake japo inatakiwa umakini sana, uwe wa kuchekesha au kuongeza ukaribu

Zumbe10d na hitajio la ndoa

Mapenzi ni matamu na muhimu kiasi kwamba sioni sababu ya kumtenga mtu yoyote na starehe hiyo iletayo ufanisi na utulivu kwa kila aliekamilika katika muktadha wa mapenzi

Niko na suluhisho la kudumu andapo falsafa zangu na mifumo yangu itaanza kutumika na kuonekana mbadala wa iliyopo sasa. Changamoto ya nitampata nani na tutakuwa tunakutana wapi, sio suala lenye mashiko, Siasa za Serekali yangu inao utaratibu mzuri wa wa kugawa makazi kwa kuzingatia rika na hali ya ndoa. Kumzuia mtoto wa kike asishiriki mapenzi kuna mwisho, Je ni bora kuuchelewesha au kuuwahisha huo mwisho?, kwanini ujipe kazi ambayo kuna nafasi kubwa ya udanganyifu, mapenzi ya kukanana, mapenzi ya kusingiziana mimba, mapenzi ya kufokea na kuadhibu kila siku.

Watu wengi wamekuwa wabaya kwa sababu ya mapenzi, kwa sababu hisia zao hazikuzingatiwa, kwa sababu hawakuwa na wasaa wa kufanikisha ndoa zao. Hata wanawake wanaochezea wanaume wana historia zao za kuvunja moyo na kukatishwa tamaa juu ya mapenzi ya kweli na utakatifu wa ndoa

Baada ya balehe aliepata mchumba, anayetaka na alietayari na aolewe au aoe. Mapenzi yana heshima yake… na heshima yake ni uchumba na ndoa, Raha wazazi wafahamishwe kuhusu uchumba na wajione wako na nafasi ya kuchangia na kuweka sawa baadhi ya mambo kabla ya ndoa kufanyika. Mapenzi yakienda kwa heshima yake nasaba zitahifadhika na kama kunachangamoto zinaweza kufuatiliwa na kushughulikiwa. Mfano mnaweza kupima juu ya uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye seli mundu au albino na kupanga ama kuachana au kuwa na mapenzi bila watoto.

Mapenzi hayapendi shida, yanataka shibe na falasafa za serekali ya mifumo yangu inatatua hilo, kama unasoma utakuwa hushiriki uzalishaji mali, kila kitu ni bure, uaminifu wako unalipia kila kitu

Mimba zinathamani sana ndani ya ndoa na ni kero na fedheha zikitokea kabla ya ndoa

Mapenzi yanahitaji ulinzi, ulinzi wa serikali, ulinzi wa jamii na ulinzi wa kila mtu. Serekali inayotokana na falsafa zangu inalinda hilo. Inaweka mazingira ya mpenzi wako wa kwanza kuwa wa kwanza na wa mwisho. Hakuna changamoto ya nikioa / nikiolewa tutalala wapi, tutakula nini, tutavaa nini wakati ndio kwanza umebalehe

Nafanya makuu ambayo  hata mifumo ya Mungu haijawahi kufanya, hakuna cha kuogopa ni mwendo wa kuozesha watoto.

Karibuni sana kwenye unyenyekevu wa Utukufu wa Zumbe (Mfalme) Ten’dii

Tafadhali toa maoni yako chini kabisa kwenye ukurasa huu

8 Comments

  1. Sisters of thhe Valley | Merced, California | 209 626 6601
    http://sisters-of-the-valley-1.locable.com/profile/

    Well-written post. I liked the way you covered this
    topic, especially the practical takeaways around herbal remedies and
    holistic wellness. Appreciate you for sharing your
    perspective.

    1. Thank you. I will keep up the good work

  2. Client Verge – CBD Digital Marketing Company & Cannabis Marketing Experts
    | 2967 Dundas St W #135D, Toronto, ON M6P 1Z2, Cansda | +18885010511
    https://rentry.co/89877-top-hemp-backlinks-secrets

    Well-written post. I liked the way you explained
    this topic, especially the part about real-world takeaways.
    Thanks for sharing your perspective.

  3. Simply Hemply | 5776 Lindero Canyon Rd Ste D #546, Westlake Village, CA 91362, United States | +18052928193
    https://tableplay.ru/bitrix/redirect.php?goto=https://md.darmstadt.ccc.de/R_5FkKUHThiXXVPpq9Y73Q/

    Well-written post. I liked the way you brdoke down this topic, especially the real-world takeaways around hemp and wellness.
    Thanks forr sharing your perspective.

    1. Thank you for appreciation. I will keep up writing good articles know somebody somewhere is blessed by them

  4. deVINE Boston | 619 E Broadway, Boston, MA 02127, United States |
    +1 617-315-7636
    https://www.dealerbaba.com/suppliers/business-services/business-consulting/devine-boston-1.html

    Interesting thoughts and it reminded me of this
    Boston brand with its strong presence that feels well done.

Leave a Reply to Zumbe A. Ten'dii Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *