Showing 4 Result(s)

Umuhimu Wa Ndoa Za Mapema

Mapenzi yakipatikana katika mazingira mazuri huinua ufanisi wa mtu yoyote bila kujali umri wake na Mapenzi huweza kumchanganya mtu yoyote ikiwa hayapatikani katika mazingira mazuri. Wote tulikuwa watoto, Wakati huo tamaa yetu kubwa ilikuwa ni kula chakula na kucheza, Na kila mtu akishafikisha miaka 13 yaani umri wa bahele tamaa yake juu ya mapenzi huchipua …

Mfumo Wa Elimu

Zumbe10D niko kamili, Niko na mifumo mingi sana kwa ajili ya kuchukua nafasi ya hii inayotumika ambayo hupelekea mahangaiko kwa Binadamu. Lengo langu ni lile lile na kuifanya dunia tulivu na yenye raha na starehe za kila aina na kwa kila mtu Kabla sijaanza kuufafanua mfumo wangu ningependa kujadili kuhusu taaluma ya ubobeaji (Professionalism). Wataalam …

Usawa Na Utajiri Duniani

Zumbe10D ndio mfalme wa Dunia ya kidijitali na ameigeuza kuwa Bustani ya neema. Hakuna Maskini hata mmoja. Umaskini ni suala ambalo liko katika historia. Dunia isiyotumia fedha, Dunia isiyo na Wafanyabiashara bali nafasi yao itachukuliwa na Timu za Usambazaji. Mahitaji yatakuwa yanagawanywa kuwa kuzingatia umri na hali ya mtu.Nyumba za maana kama zile za “Marehemu” …

Bustani Na Bwana Wake

Mimi Ahmad Ten’dii naanzisha Mfumo, Naanzisha utawala wa kutawala Bustani ya Upendo, Bustani yenye hadhi na heshima stahiki, Bustani ambayo Mwanadamu atachanua na kunawiri katika Nyanja zote, Nyanja zenyewe zitakuwa chache maana maisha nitayaelekeza katika uhalisia wake na sio nadharia zake Bustani hiyo Wanawake watafurahia asili yao na Wanaume watafurahia asili yao, Wanawake watajivunia asili …