Showing 22 Result(s)

Uhaini Ngazi ya Familia

Familia ndio msingi wa Taifa, Ndani ya familia ndipo ambapo malezi sahihi na makuzi wa watoto na vijana hupatikana kwa usahihi. Ni wajibu kwa jamii kushirikiana kwa pamoja kuilinda taasisi ya familia Msingi mzuri wa familia ni ndoa, Ndoa ambayo ni muungano wa watu wawili, mke na mume walioamua kuishi pamoja na kuunda familia. Familia …

Safari ya kifalme

Hizi ni Kampeni kwa ajili uundaji wa Taifa la Kifalme. Kampeni ya kushawishi watu wa mataifa yote, makubwa na madogo umuhimu wa kuwepo kwa taifa la kifalme chini yangu mimi Ahmad Ten’dii Huu ni mpango wa kutowesha shida, umaskini na utesi unaopatikana katika safari ya maisha. Ni mpango  wa kuhakikisha ya kwamba maisha ya binadamu …

Dunia Isiyo Na Dhambi

Watu wabaya wanatengenezwa. Kuna mazingira yanawafanya watu wawe na tabia za dhambi na za kihalifu na kuna mazingira yanawafanya watu wewe watenda wema na wazuri kwao wenyewe, familia zao na jamii yote kwa ujumla. Maisha magumu na kukwama katika umaskini kunafanya wawe tayari kufanya kazi yoyote na kuna baadhi ya watu wanafikia hatua ya kufanya …

Mahusiano na mapenzi yenye afya

Utangulizi Sisi ni binadamu, kama walivyo viumbe wengine tunahitaji mapenzi na mahusiano. Kama njia ya kustarehe, kujipatia utulivu na kuzaliana. Ipo nguvu ya asili katika sisi (Viumbe) inayotuvuta kuelekea katika matendo ya mapenzi na kuzaliana. Kwanza mapenzi ni matamu na yanaraha kwa wapenzi wote wawili, Pili maumbo ya Jamii ya Kiume ni makubwa na misuli …

Mageuzi Mfumo Wa Elimu

Zumbe10D niko kamili, Niko na mifumo mingi sana kwa ajili ya kuchukua nafasi ya hii inayotumika ambayo hupelekea mahangaiko kwa Binadamu. Lengo langu ni lile lile na kuifanya dunia tulivu na yenye raha na starehe za kila aina na kwa kila mtu Kabla sijaanza kuufafanua mfumo wangu ningependa kujadili kuhusu taaluma ya ubobeaji (Professionalism). Wataalam …