Showing 22 Result(s)

Bangili ya Rehani – Alama ya Pili ya Maisha

Utangulizi Katika jamii ya Zumbe10D, nidhamu na heshima ni nguzo kuu za uhuru wa kweli. Lakini tunatambua pia kuwa binadamu hukosea. Ndipo dhana ya Bangili ya Rehani inapoibuka — si kama alama ya aibu, bali kama ishara ya pili ya maisha na uwajibikaji. Bangili ya Rehani ni nini? Ni bangili ya chuma yenye maandishi REHANI …

Uhasidi unavyodhuru Jamii na Watakatifu

Ujumbe Mahsusi kutoka kwa Masihi (Zumbe) Ahmad Ten’dii. Mwenyezi Mungu amehalaisha mashindano na kuharamisha Uhasidi. Ni uovu kutamani neema za watu wengine na kutaka uzipate wewe au yule unayemtaka. lakini kushindana kugombea nafasi nzuri ni jambo halali kulingana na nafasi / fursa zenyewe unaombwa kujiunga na kuwa mwanachama wa tovuti hii. Podcast zinazofuata zitakuwa kwa …

Unaweza Kuoana na Zumbe10D

“Ahmad Ten’dii (Ahmad Juma Shelimo) Hazini (anachofanya sio uzinifu)” (!?) – Alisema Nabii nisiye Mjua “Ndoa zangu Hazifungishwi – Nafungisha Mwenyewe” – Kauli yangu miongoni mwa kauli za Mwanzo baada ya kupata Unabii / Utume (Kristo wa Dar) Qur’an inasemaje kuhusu Muhammad (SAW) “Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekuhalalishia wake zako ulio weka mahari yao, na …

Waandishi Mko wapi?! Au #HamtoiKiki?

Waandishi Mko wapi?! Au #HamtoiKiki. Je hizi ni topic nyepesi ndani ya jamii? Hazigusi maisha ya watu?! Hazifai kujadiliwa?! Je hamuoni kuwa mnachochea Matabaka?!Kuna Taasisi za Serekali au kidini zenye Mkono katika hili.Je #HatutoiKiki ni harakati ya Haki? Ya nani? Waabudu Mashetani na Mifumo ya Kibepari? au Wanaharakati ya mapenzi ya Jinsia Moja?. Kwanini Vyombo …

Mchango wa Siasa Zetu kwenye Umalaya na Utomvu wa Maadili

Wakati nikiwa mwanafunzi nilikuwa muislamu safi. Miongoni mwa dua zangu wakati huo ni kupatiwa Mke mwema na kipato kizuri pindi nimalizapo masomo yangu. Siku moja wakati niko chuo kikuu nilikwenda baa ya jirani na Geto langu kupata chakula cha Mchana. Meza jirani alikuwepo kijana mmoja na binti, picha ya haraka niliyoipata ni kwamba wanataka kuanzisha …