Showing 22 Result(s)

Pod – Zumbe10D na Uchizi Feb 2026

Nakutana na changamoto nyingi sana kwa kisingizio kwamba nina matatizo ya afya ya Akili, Changamoto hizo zinapelekea suala la uchumi wangu kuwa duni na duni kila siku. Napaswa kufanya kazi na kuwa na kwangu kwa maana ya nyumba na kwangu kwa maana ya Familia, Naishi bila mke na sina cha kusema zaidi ya kulaumu hali …

Falme ya Ahmad – Dunia Moja Bila Vita

Katika historia ya binadamu, vita vimekuwa mzizi wa maumivu na uharibifu. Kila kizazi kimeacha kumbukumbu za damu na machozi, na kila taifa limepoteza watoto wake kwa sababu ya tamaa na chuki. Lakini sasa, katika Falme ya Ahmad, tunatangaza kwa sauti ya kifalme: vita ni haramu milele. Kila falme ina “ridhaa tukufu” na kwetu sisi ni …

Mabwana wa Taasisi – Cheo cha Uaminifu

Katika dunia ya sasa, matajiri na viongozi wa taasisi kubwa au Viongozi wa Mataifa hawapaswi kuishi kwa hofu ya kupoteza mali zao au nafasi zao pindi mageuzi ya Masihi Ahmad Ten’dii yakishika hatamu. Lakini katika Falme ya Ahmad, hakuna mtu anayepaswa kuogopa mabadiliko. Kwa uaminifu wao kwa Masihi Ahmad, viongozi hawa watapewa heshima ya kifalme …

Mfumo wa Wanachama Umekamilika kwa Asilimia 100

Leo tunasimama katika hatua ya kihistoria: mfumo wa kushughulikia taarifa za wanachama wa Zumbe10D umekamilika kwa asilimia 100. Hii siyo tu kazi ya kiufundi, bali ni ushuhuda wa dhamira yetu ya kujenga jamii yenye heshima, usalama na mshikamano wa kweli. Wito wa Kujiunga Tunawaomba wote wenye moyo wa matumaini na heshima wafanye hima kujiunga. Idadi …

Umuhimu Wa Ndoa Za Mapema Pt 2

“Mapenzi yakipatikana katika mazingira mazuri huinua ufanisi wa mtu – ndoa mapema ni nguzo ya heshima na usalama wa jamii.” 1. Mapenzi na Mazingira Mapenzi ni nguvu ya asili. Yakipatikana katika mazingira mazuri huinua ufanisi wa mtu, lakini yakikandamizwa huzaa udanganyifu, rafu, na migogoro. Kuchelewesha mapenzi hadi miaka 18+ huandaa mazingira ya ushoga, usagaji, na …