Zumbe10D Enzini

Harakati zangu mimi Ahmad Ten’dii ni za kujivunia na za kujiingiza mzima mzima kuelekea lengo kuu la kupata Ufalme wa Dunia ukianza nyumbani Tanzania.Je wewe unajivunia athari yangu, Unapenda matokeo ya Harakati zangu za kidini / Falsafa / Siasa au vyote kwa pamoja. Je wewe ni miongoni mwa wanaoona upo umuhimu wa kuniinua na kunitukuza …

Usawa Na Utajiri Duniani

Zumbe10D ndio mfalme wa Dunia ya kidijitali na ameigeuza kuwa Bustani ya neema. Hakuna Maskini hata mmoja. Umaskini ni suala ambalo liko katika historia. Dunia isiyotumia fedha, Dunia isiyo na Wafanyabiashara bali nafasi yao itachukuliwa na Timu za Usambazaji. Mahitaji yatakuwa yanagawanywa kuwa kuzingatia umri na hali ya mtu.Nyumba za maana kama zile za “Marehemu” …

Umuhimu Wa Ndoa Za Mapema

Mapenzi yakipatikana katika mazingira mazuri huinua ufanisi wa mtu yoyote bila kujali umri wake na Mapenzi huweza kumchanganya mtu yoyote ikiwa hayapatikani katika mazingira mazuri.Wote tulikuwa watoto, Wakati huo tamaa yetu kubwa ilikuwa ni kula chakula na kucheza, Na kila mtu akishafikisha miaka 13 yaani umri wa bahele tamaa yake juu ya mapenzi huchipua na …

Ujumbe Kwa LGBTQ

Mimi kama Mzazi siwezi kuwaunga mkono jamii ya Wasagaji, Mashoga, au wanaobadili Jinsia yaani GLBTQ. Vitendo hivyo havikubaliani na Asili ya Mwanadamu kwa hiyo ni jambo la kutarajiwa pia hata wao wenyewe kutojisikia vizuri sababu ya Mabadiliko ya kimwili wanayopitia hasa kama watataka msaada wa Madaktari ili wajibadilishe. Jamii ya LGBTQ inapata nguvu kutokana na …

Bustani Na Bwana Wake

Mimi Ahmad Ten’dii naanzisha Mfumo, Naanzisha utawala wa kutawala Bustani ya Upendo, Bustani yenye hadhi na heshima stahiki, Bustani ambayo Mwanadamu atachanua na kunawiri katika Nyanja zote, Nyanja zenyewe zitakuwa chache maana maisha nitayaelekeza katika uhalisia wake na sio nadharia zake Bustani hiyo Wanawake watafurahia asili yao na Wanaume watafurahia asili yao, Wanawake watajivunia asili …