Uhasidi unavyodhuru Jamii na Watakatifu

Ujumbe Mahsusi kutoka kwa Masihi (Zumbe) Ahmad Ten’dii. Mwenyezi Mungu amehalaisha mashindano na kuharamisha Uhasidi. Ni uovu kutamani neema za watu wengine na kutaka uzipate wewe au yule unayemtaka. lakini kushindana kugombea nafasi nzuri ni jambo halali kulingana na nafasi / fursa zenyewe

unaombwa kujiunga na kuwa mwanachama wa tovuti hii. Podcast zinazofuata zitakuwa kwa ajili ya watu waliojiandikisha tu Bofya hapa kujiandikisha

Karibuni katika Podcast yangu

Image

Uhasidi na madhara yake kwa jamii na watu wema

Tafadhali naomba uweke maoni, ushauri au mtazamo wako sehemu ya coments. Mwisho wa Podcast hii ni mwanzo wa Podcast nyingine. coments zenu ni muhimu sana kujua mmepokeaje ujumbe wake na sehemu gani zimeleta ukakasi au faida, msaada na mwanga kwa ajili ya podcast zinazofuatia

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *