“Ahmad Ten’dii (Ahmad Juma Shelimo) Hazini (anachofanya sio uzinifu)” (!?) – Alisema Nabii nisiye Mjua
“Ndoa zangu Hazifungishwi – Nafungisha Mwenyewe” – Kauli yangu miongoni mwa kauli za Mwanzo baada ya kupata Unabii / Utume (Kristo wa Dar)
Qur’an inasemaje kuhusu Muhammad (SAW)
“Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekuhalalishia wake zako ulio weka mahari yao, na wale iliyo wamiliki mikono yako ya kuume katika wale alio kupatia Mwenyezi Mungu, na binti za ami zako (Baba Wakubwa na Wadogo), na binti za shangazi zako, na binti za wajomba zako, na binti za ndugu wa mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitolea mwenyewe kwa Nabii, kama Nabii akitaka kumuoa. Hii ni kwa ajili yako wewe tu, si kwa Waumini wengine…” Ahzab:50
Chapisho hili likawe Faraja na Kivuko – Mwenyezi Mungu awabariki kwa Uvumilivu wenu na Subiri.
Kuhusu Ndoa za Muda Qur’an inaagiza “Oaneni kwa wema na Muachane kwa wema”. Hii inaweza tumika kwa ajili ya Faraja na Kupata Watoto. Mahusiano pia huwa yanafeli, ukweli usemwe.
Basi kitakachofuatia kwenye Mapenzi yetu ni haya
“Unaweza kumukhirisha (kumweka kando) unayemtaka miongoni mwao, na kumkurubisha unayemtaka. Na ukitaka kumrejea mmoja uliyemweka kando, basi hapana dhambi juu yako. Hivyo ni karibu zaidi yaburudike macho yao, wala wasihuzunike, na wawe radhi kwa kile ulichowapa wote. Na Mwenyezi Mungu anajua yaliyomo nyoyoni mwenu, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mvumilivu.” Qur’an 33:51
Sio lazima Tuishi Nyumba / Mji Mmoja huku tukijitahidi kuelekea lengo hilo
Tafadhali Share na Wahusika

